NEW AUDIO

Download Nyimbo za Mwaka Mpya 2025: Playlist ya Kuchangamsha Sikukuu Zako!

Download Nyimbo za Mwaka Mpya 2025

Tayari tupo mwaka mpya 2025! Baada ya safari ndefu ya mwaka 2024, ni wakati wa kusherehekea baraka mpya, mafanikio mapya, na mwanzo mzuri. Mungu ni mwema, na sasa ni wakati wa kuukaribisha mwaka huu kwa vionjo bora vya muziki.

RELATED: Diamond Platnumz Ft Zuchu – Raha

Hii hapa playlist ya kukupa burudani isiyosahaulika, ikijumuisha ngoma kali kutoka kwa wasanii wakali kama Harmonize, Zuchu, Diamond Platnumz, Rayvanny, na mastaa wengine wengi. Nyimbo hizi zimejaa matumaini, shangwe, na vionjo vya kuamsha roho ya mwaka mpya.

Jiandae kucheza, kufurahi, na kuanza mwaka kwa miondoko ya kipekee—baraka na amani zikufuate popote ulipo. 🎶✨

  1. The Mafik – Alhamdulillah
  2. The Mafik – Tunaanza na Mungu
  3. Rayvanny Ft Mwamposa – Ni Mungu
  4. Harmonize – Mwaka Wangu
  5. Mzee Wa Bwax Ft D Voice – Tumeuona
  6. Chino Kidd – Happy New Year Ft Treyzah
  7. Aslam Tz Ft Mabantu & Masauti – Tukutane Mwakani Remix
  8. Ibraah – Nafunga Mwaka
  9. Walter Chilambo – Mwaka
  10. Toxic Ft Kontawa – Mwakani
  11. Dayoo – Huu Mwaka Ft Rayvanny
  12. Jaguar – Huu Mwaka
  13. Beatrice Mwaipaja – Mwaka Wangu
  14. B Gway – Mwaka Huu (Prod. Nms)
  15. Zuchu – Wale Wale Ft. Diamond Platnumz
  16. Diamond Platnumz – Holiday (Prod. S2kizzy)

Happy New Year Playlist

Also, check more tracks from Zuchu;

2 Comments

Leave a Comment