Tayari tupo mwaka mpya 2025! Baada ya safari ndefu ya mwaka 2024, ni wakati wa kusherehekea baraka mpya, mafanikio mapya, na mwanzo mzuri. Mungu ni mwema, na sasa ni wakati wa kuukaribisha mwaka huu kwa vionjo bora vya muziki.
RELATED: Diamond Platnumz Ft Zuchu – Raha
Hii hapa playlist ya kukupa burudani isiyosahaulika, ikijumuisha ngoma kali kutoka kwa wasanii wakali kama Harmonize, Zuchu, Diamond Platnumz, Rayvanny, na mastaa wengine wengi. Nyimbo hizi zimejaa matumaini, shangwe, na vionjo vya kuamsha roho ya mwaka mpya.
Jiandae kucheza, kufurahi, na kuanza mwaka kwa miondoko ya kipekee—baraka na amani zikufuate popote ulipo. 🎶✨
- The Mafik – Alhamdulillah
- The Mafik – Tunaanza na Mungu
- Rayvanny Ft Mwamposa – Ni Mungu
- Harmonize – Mwaka Wangu
- Mzee Wa Bwax Ft D Voice – Tumeuona
- Chino Kidd – Happy New Year Ft Treyzah
- Aslam Tz Ft Mabantu & Masauti – Tukutane Mwakani Remix
- Ibraah – Nafunga Mwaka
- Walter Chilambo – Mwaka
- Toxic Ft Kontawa – Mwakani
- Dayoo – Huu Mwaka Ft Rayvanny
- Jaguar – Huu Mwaka
- Beatrice Mwaipaja – Mwaka Wangu
- B Gway – Mwaka Huu (Prod. Nms)
- Zuchu – Wale Wale Ft. Diamond Platnumz
- Diamond Platnumz – Holiday (Prod. S2kizzy)
Also, check more tracks from Zuchu;
- Zuchu – Tanzania Ya Sasa (Prod. Lizer)
- Zuchu – Raha (Prod. Lizer)
- Zuchu – Kwaru
- Zuchu Ft Khadija Kopa – MAUZAUZA
- WCB Wasafi – Jibebe Ft Diamond Platnumz, Lava Lava & Mbosso
- Krizbeatz – Proper Ft. Diamond Platnumz & Tekno
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
music
good