Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshiriki orodha yake ya nyimbo bora 10 za Bongofleva alizozipenda zaidi mwaka 2024. Orodha hiyo imeonyesha upendo wake kwa muziki wa kizazi kipya, ikijumuisha nyimbo kutoka kwa wasanii wakubwa pamoja na wale chipukizi wa Tanzania.
RELATED: Diamond Platnumz – Holiday (Prod. S2kizzy)
Hapa chini ni orodha ya nyimbo hizo zilizopendwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe:
- Raha – Diamond Platnumz Ft. Zuchu
- Pwita – Zuchu
- Kipofu – Chege Ft. Ali Kiba
- Yule (Remix) – AY Ft. Marioo
- Mapoz – Diamond Platnumz Ft. Mr. Blue & Jay Melody
- Natamba Naye – Phina
- Dah – Nandy Ft. Ali Kiba
- Huku – Ali Kiba & Tommy Flavour
- Zamani – Founder
- Yesa – Chino Kidd
Orodha hii ni kielelezo cha jinsi muziki wa Bongofleva unavyoendelea kuwagusa na kuleta burudani kwa watu wa rika na nyanja mbalimbali nchini Tanzania.