NEW AUDIO

Albamu Mpya ya Zuchu ‘Peace & Money’ Ni balaa mjini

Albamu Mpya ya Zuchu 'Peace & Money' DOWNLOAD HAPA

Mwanadada Zuchu ameachia rasmi albamu yake mpya PEACE & MONEY usiku wa kuamkia leo, Disemba 20. Albamu hiyo ina jumla ya nyimbo 13, ikiwa na mchanganyiko wa kolabo za wasanii wa ndani na nje ya nchi.

RELATED: Marioo – The God Son (TGS) Album

Nyimbo hizi zimezalishwa na watayarishaji mbalimbali maarufu nchini, akiwemo Pablo, Trone, Lizer Classic, Mocco Genius, Mr. Kleb Beatz, Diblo One Touch, na Gopa Beatz.

Albamu ya Peace & Money ni ushuhuda wa ubunifu na malengo makubwa ya Zuchu kama sauti inayoongoza kwenye muziki wa Afrika. Nyimbo zake zinachanganya miondoko ya Afrobeat, Bongo Flava, na midundo ya kisasa, zikiwemo za solo na kolabo na wasanii wakubwa.

Nyimbo hizi zinaleta mchanganyiko wa ladha na mitindo tofauti, huku nyimbo kama Mamana Nimechoka zikigusa hisia za kibinafsi na maisha. Wakati huo huo, nyimbo za kuchezeka kama Antennana Makonzi zimeahidi kutawala kumbi za starehe.

Albamu Mpya ya Zuchu ‘Peace & Money’ DOWNLOAD HAPA
  1. Zuchu – Till I Die Ft Spyro
  2. Zuchu – Lollipop Ft yemi Alade
  3. Zuchu – Mwizi
  4. Zuchu – Antenna
  5. Zuchu – Makonzi
  6. Zuchu – Lullaby Ft Majeed
  7. Zuchu – I Don’t Care
  8. Zuchu – Cherie Ft Lava Lava
  9. Zuchu – Tinini Ft H_Art The Band
  10. Zuchu – Mama
  11. Zuchu – Nimechoka
  12. Zuchu – Wale Wale Ft Diamond Platnumz
  13. Zuchu – Hujanizidi Ft D Voice

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment