SPORTS

Matokeo Yanga vs CBE – Ligi ya Mabingwa Afrika Tarehe 14 Septemba 2024

Matokeo Yanga vs CBE – Ligi ya Mabingwa Afrika

Leo, tarehe 14 Septemba 2024, Timu ya Young Africans (Yanga) inakutana na Benki ya Ethiopia (CBE) katika raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hii imeanza saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki, ikifanyika kwenye uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.

RELATED: Jux Ft. Diamond Platnumz – Ololufe Mi (Prod. S2kizzy)

Young Africans wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na rekodi bora ya kutopoteza katika mechi 16 mfululizo, huku wakishinda michezo 5 iliyopita dhidi ya timu kubwa kama Simba na Azam. Wakati huo huo, CBE ina rekodi ya kutopoteza mechi 14 mfululizo, ikijivunia ushindi muhimu dhidi ya SC Villa ya Uganda kwenye raundi iliyopita.

Matokeo Yanga vs CBE – Ligi ya Mabingwa Afrika Tarehe 14 Septemba 2024
TeamScoreGoal ScorerMinute
CBE SA0
Yanga SC1 🏆Prince Dube45th
Match Overview:
  • Winning Goal: Prince Dube scored a crucial goal in the 45th minute, breaking Yanga’s 55-year winless drought on Ethiopian soil in CAF competitions.
  • Assist: The goal was set up by Maxi Nzengeli from a left-wing cross, which Dube converted to secure victory.
Yanga’s Previous Record Against Ethiopian Teams:
  • Yanga had previously played four matches in Ethiopia, resulting in two draws and two losses.
  • Previous Matches:
  • 1969: Drew 0-0 with St. George
  • 1998: Drew 2-2 with Coffee
  • 2011: Lost 2-0 to Dedebit
  • 2018: Lost 1-0 to Welayta Dicha
Match Highlights:
  • Despite creating several opportunities, Yanga only managed to convert one goal due to lack of focus in finishing.
  • This victory puts Yanga in a favorable position for the second leg of the CAF Champions League preliminary round, to be held at Amaan Stadium, Zanzibar.
Key Implications:
  • Advancement: Yanga now needs only a draw or win in the return match to qualify for the group stage of the CAF Champions League.
  • Historical Context: If Yanga succeeds, it will mark their fifth group stage qualification in African club competitions and their third in the CAF Champions League.
Financial Gains:
  • CAF Prize: Qualifying for the CAF Champions League group stage guarantees Yanga a reward of $700,000 (Tsh 1.8 billion) from CAF.

Also, check more tracks from Mbosso;

Leave a Comment