ENTERTAINMENT

Yanga Day 2024 – Nyimbo 10 Bora Kwa Ajili ya Yanga Day 2024

Nyimbo 10 Bora Kwa Ajili ya Yanga Day 2024

Ni rasmi klabu ya Yanga imethibitisha kuwa itacheza na timu ya Red Arrows ya Zambia, kwenye kilele cha Mwananchi Day kitakachofanyika Jumapili, Agosti 4, mwaka huu.

Red Arrows, mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame 2024), watacheza na Yanga ambayo pia imetoka kutwaa ubingwa wa Toyota Cup Afrika Kusini.

Akizungumza na wanahabari, Mhamasishaji wa Yanga, Haji Manara amewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kuishuhudia timu yao iliyojitengenezea ukubwa kutokana na kikosi bora ilicho nacho.

Nyimbo 10 Bora Kwa Ajili ya Yanga Day 2024
  1. Harmonize – Yanga Bingwa
  2. Marioo – Yanga Anthem (Version 2)
  3. Meja Kunta Ft Billnass – Wananchi
  4. Harmonize – Wamelowa
  5. Riger x Harmonize – Tabulele
  6. Marioo – YANGA Tamu
  7. Harmonize – Yanga (Prod. Young Keyz)
  8. Marioo – Yanga Mabingwa 
  9. Christian Bella – Mimi Ni Yanga
  10. Rayvanny – Yanga Mwamba
  11. Madee – Yanga
  12. Mzee Wa Bwax Ft Kapaso Bkp – Yanga
  13. Nandy – Yanga (Prod. Kimambo)
  14. Mavokali – Yanga Commando
  15. Wyse – Yanga
  16. Jux Ft G Nako – Shugga Daddy Yanga
Cover Photo

Yanga Bingwa

Harmonize

Album: YANGA DAY

0:00

Leave a Comment