Join in and sing along to the uplifting lyrics of “Hongera” by Rayvanny. This song has resonated with audiences not just in Tanzania, but also across borders, receiving widespread acclaim.
RELATED: Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango Lyrics
Rayvanny – Hongera Lyrics
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo
Furaha pande zote
Sio kwa babu bibi baba mama
Imekuja baraka kwenu
Kwa kuwa umemleta mwana
Teamo tato wewe na yeye mnaendana
Mpate katoto halfcast
Kikawaite baba na mama
Nikiona tumbo lako tabasamu lako
Kweli kitanda hakiongepei
Nasubiri siku yako uzae baby wako
Zawadi kemkem tupokee
Uzuri wa sura yako na mtoto wako
Kweli damu haiongopei
Nikiona pua yako mdomo pua yako
Hakuna haja ya DNA
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo
Mbona najua leba ni mateso
Vumila uta-settle kuwa mama kitu special
Mtoto taifa la kesho
Kama alivyokupenda mama
Na wewe mpende mwanao
Mtaishi kama mko peponi
Upendo wako ukiwa ngao
Na mapenzi ya wazazi yadumu sana
Ugomvi achana nao
Mpendane toka moyoni
Msiishie kwa mtandao
Nasubiri siku yako uzae baby wako
Zawadi kemkem tupokee
Uzuri wa sura yako na mtoto wako
Kweli damu haiongopei
Nikiona pua yako mdomo pua yako
Hakuna haja ya DNA
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo
Hongera unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama unaitwa mama
Unaitwa mama leo