Delve into the lyrics and enjoy the melody of “Kibango” by Lava Lava featuring Diamond Platnumz. This track has garnered widespread acclaim from fans not only in Tanzania but also beyond its borders.
RELATED: Darassa Ft Zuchu – Romeo Lyrics
Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Kibango Lyrics
Hii party ina mademu bwana ina mademu bwana
Hii party ina wachumba sana ina wachumba sana
Eeeh hii party ina wachati sana ina wachati sana
Hii party ina madanga bwana ina madanga
Ningejuta ningekosa kuna kwenye hii party ningejilaumu sana
Ningetaka nisitokee hii party
Si mngenicheka sana hii party
Eti tamasha ipo kwenye hii party
Inamwaga watoto bhana kwenye hii party
Na mapozi hii party
Inamwaga madanga bwana hii party
Naskia nye naskia nye naskia nye
Nyepesi nichanganyie baba
Naskia nye naskia nye naskia nye
Nyepesi hii pombe nichanganyie baba
Pablo haujui pablo
Hii party ina vigishi ina vigishi
Hivi jinsi ilivyoshona ndani ngiti nje ngiti
Hii party ina mabi ina mabinti
Vitoto vya elfu mbili vilivyonoga mashemu vipi
Eeeh ebana mi sa nikae wapi
Ama ndo nipande juu ya meza panda juu ya meza
Ama nije kati moja kwa moja nije kucheza
Sa nikae wapi
Ama ndo nipande juu ya meza panda juu ya meza
Ama nije kati moja kwa moja nije kucheza
Ningejuta ningekosa kuna kwenye hii party ningejilaumu sana
Ningetaka nisitokee hii party
Si mngenicheka sana hii party
Eti tamasha ipo kwenye hii party
Inamwaga watoto bhana kwenye hii party
Na mapozi hii party
Inamwaga madanga bwana hii party
Naskia nye naskia nye naskia nye
Nyepesi nichanganyie baba
Naskia nye naskia nye naskia nye
Nyepesi hii pombe nichanganyie Pablo
Kibango ipo inakwenda meza ya nani hebu nisomee
Kibango ipo inakwenda meza ya nani hebu nisomee
Kibango hiko kimeandikwa tajiri nani hebu nisomee
Kibango hiko kimeandikwa tajiri nani hebu nisomee
Eeeeh kinakwenda meza ya nani kibango
Imeandikwa tajiri nani kibango
Mwenye fujo nani kibango
Eeeeh Eeeeh nani kibango
Eeeeh kinakwenda meza ya nani kibango
Imeandikwa tajiri nani kibango
Huyo anaekomesha nani kibango
Eeeeh Eeeeh nani kibango