LYRICS

Jay Melody – Wa Peke Yangu lyrics

Jay Melody - Wa Peke Yangu lyrics

Sing along with “Wa Peke Yangu” by Jay Melody. This song is featured on Jay Melody’s recently released album titled ‘Therapy‘.

RELATED: Nandy Ft Khanyisa X Ziibeats – Wahala LYRICS

Jay Melody – Wa Peke Yangu lyrics

Vimacho na zake lips

Kumpata sio rahisi

Yani kweli Mungu umenibariki

Mimi umenibariki

Na kabla ya hii gift

Ukatufanya marafiki

Mpaka sasa penzi liko lit

Moto kiukweli

Yaani kama nimeokota dodo

Chini ya mpera nimeokota dodo

Na siambiliki hata kidogo

Mwenzenu mimi

Nimeokota dodo

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Jamani wa peke yangu huyu

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Mapenzi gani haya anayonipa

Mpaka damu naskia inavyopita

Kwenye moyo mbio kwenye mishipa

Au tuseme ndo kashanishika

Yaani kama nimeokota dodo

Chini ya mpera nimeokota dodo

Na siambiliki hata kidogo

Mwenzenu mimi

Nimeokota dodo

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Jamani wa peke yangu huyu

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Darling yuko moyoni

Ninavyo muota usingizini

Jamani Darling yuko moyoni

Ninavyo muota usingizini

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Jamani wa peke yangu huyu

Wa peke yangu huyu

Wa peke yangu

Wa peke yangu

Leave a Comment