Biblia Takatifu ya Kiswahili, pia inajulikana kama Biblia ya Kiswahili, ni tafsiri ya Maandiko Matakatifu katika lugha ya Kiswahili, ambayo ni lugha ya taifa katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Sasa unaweza kusoma Biblia takatifu ya kiswahili katika simu au computer yako, Download hapa chini Biblia takatifu ya kiswahili Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.
Biblia ya kiswahili yenye tafakari ya neno la kila siku, download free kwa kupata mistari ya kila siku, neema juu yenu.