Tanzanian Singeli recording artist, Mzee Wa Bwax has just released a brand new joint tagged Nimeokoka, produced by Banny Music.
RELATED: Zuchu – Nyumba Ndogo (Prod. Dj Kadogodogo)
QUOTABLE LYRICS
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokaka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokaka
Kupiga chabo sipigi tena, Nimeokaka
Mapenzi ya collabo sitaki tena, Nimeokaka
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokaka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokaka
Kuvuta bange sivuti tena, Nimeokaka
Kula mirungi me sili tena, Nimeokaka
Listen to “Mzee Wa Bwax – Nimeokoka” below;
AUDIO Mzee Wa Bwax – Nimeokoka MP3 DOWNLOAD
Also check more tracks from Zuchu;