Join in and sing along with the ‘Mtaalamu‘ lyrics by Lulu Diva featuring Nandy, a song that has gained immense popularity among fans, reaching far beyond the borders of Tanzania.
RELATED: Mocco Genius Ft Marioo – Mi Nawe LYRICS
Lulu Diva Ft Nandy – Mtaalamu LYRICS
Sexy Divaa Divanaa
LG
Yani Mguu Huu Ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi Leo Inamwagika Damu
Huu mguu Huu Ni wako Mtaalamu
Yani kamkera kiti Leo Inamwagika Damu
Lgggggggggggg
chrous
Cheketu Cheketu Mahepee Cheketu cheketu
[x4]Tawileee X4
Verse
Msogezee Mlete Kwenye Chupa Umueke
Na Majina yake yote Asisumbue Chochote
Msogeze Mlete Kwenye Chupa Umueke Na Majina yake Yote Asisumbue chochote
bridge
Yani Mguu Huu Ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi Leo Inamwagika Damu
Huu mguu Huu Ni wako Mtaalamu
Yani kamkera kiti Leo Inamwagika Damu
chrous
Cheketu Cheketu Mahepee cheketu cheketu
[x4]TAWILEE X4
verse
kumbe Alikua Hajui Upande Wangu Wa pili
Sio Mtungi Tuu Jogoo Wake Ntampa Ngiri
kumbe Alikua Hajui Upande Wangu Wa pili
Kivumbi Tuu Ikibidi Arukwe Akili
Cheketu Cheketu Mahepee Cheketu cheketu