“Beer Nyama” is a popular Tanzanian song that gained widespread recognition for its catchy beat and lyrics. The song is a collaboration between Lava Lava and Billnass, both well-known artists in Tanzania’s music scene
RELATED: Darassa – Information LYRICS
The song’s lyrics revolve around themes of celebration, enjoyment, and having a good time. It captures the spirit of a lively gathering or party where people come together to enjoy beer and meat, which are often seen as symbols of relaxation and pleasure in Tanzanian culture. The upbeat rhythm and catchy melody make it a favorite choice for dancing and celebration.
Lava Lava Ft Billnass – Beer Nyama LYRICS
Chupa limeamka na chai au SIO
HEHEHEHE lovebite
Niko na zombi shetani
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Kankoroga uyoo sina hamu nae
Mwambie asipige simu sina mpango nae
Kankoroga uyoo sina hamu nae
Mwambie asipige simu sina mpango nae
Kankoroga uyo sin hamu nae
Meseji zake zanikata stimu sina mpango nae
Kankoroga uyo sina hamu nae
Mwambie asipige simu sina mpango nae eeeeee
Shobo na mapenzi sitaki kusikia
So kwake sina ujanja bora ngazi kwa kia
Mwenzenu siwezi nishachoka kulia
Ata nkeshe viwanja nijipooze na beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Sasa mitungi na mishikaki
Alileta makuzi majuzi kati
MAJUZI KATIIII
Ety baby tuchati
Nishablock namba shobo sitaki
SHOBO SITAKIIII
dady dady dady eeeee
Kupelekeshana me sitaki tena
Bora nibaki zangu dailema
Nikeshe na mitunga na maganja wena
DADYYYY dady wena
Niwe bongo bongo movie masinema
Bora nibaki zngu dailema
Nikeshe na mitungi na maganja wena
BILANAAS BILNAAS
Shobo na mapenzi sitaki kusikia
So kwake sina ujanja bora ngazi kwa kia
Mwenzeni siwez nishachoka kulia
Ata nkeshe viwanja nijipooze na gia
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
Beer beer
Beer nyama beer
ukinikuta mabatani ata uje na tag nimejipanga
NA HAPA IPOOOO
Leta zako za kishamba tunapindua meza iwe majanga
NA HAPA IPOOOO
wamenipandisha mezani saa namwaga manoti muje kudanga
NA HAPA IPOOOO
Tunakula beer tunakula beer tunakesha mida ya wanga
NA HAPA IPOOOOO
KAMIX LAIZER