Feel the rhythm and sing along to the lyrics of ‘Buruda‘ by Jaivah featuring Marioo, a song that has garnered widespread acclaim from fans both in Tanzania and beyond.
RELATED: Rayvanny – Christmas LYRICS
Jaivah Ft Marioo – Buruda LYRICS
Intro:
Mmmh Baaad
Melodic Whistle..
Aweeeh Igama lami ngu-Jaivah wena
Aweeeh..Aweeeeeh
Aweeeeeh
(Jaivah)
Verse 1(Jaivah)
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime,hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia,akijitusu natembeza
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime,hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia,akijitusu natembeza
Nikamwambia mitungi,buruda
Washa hata kitu,buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi,buruda
Nikamwambia mitungi,buruda
Washa hata kitu,buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi,buruda
(Akaniuliza)
Nani jina lako..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
(Akaniuliza)
Ubani igama lakho..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Si mtoto alivyoona venye nimepoa
Ye akanichukulia poa
Na mwanenu nnavyojua kukomoa
Naweka kama natafuta ndoa
Chorus
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Verse 2(Marioo)
Aloooooh…
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo,kojo,kojoo)
Kojo,kojo,kojoo
Nimelewa sioni mbele,sioni nyuma
Sioni juu,sioni chini tundu liko wapi
(La choo)
Sioni mundu,sioni kijema
Kwani njia iko wapi
(Ya chooni)
Kama nawakwaza semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nawaboa semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nina gubu semeni
(Hauna gubu tajiri)
Kama ninabaya semeni
(Hauna baya tajiri)
Shiih..
Leo dj nani,chapa ngoma ya Zuchu (honey)
Anapiga nani,hebu ngoja nipokee..Aloooh
(Hey baby please,come back home please,I need you now)
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home
Au ninyi mnasemaje
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Chorus
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache,kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo,kojo,kojoo)