LYRICS

Ali Kiba – Alo LYRICS

Ali Kiba - Alo LYRICS

Feel free to read and sing along with the lyrics of “Alo” by Ali Kiba. This song has garnered immense popularity among fans not only in Tanzania but also worldwide.

RELATED: Marioo – Away Ft Harmonize LYRICS

Ali Kiba – Alo LYRICS

It’s your love, that turns me on

Mashallah ah uko so natural

Wewe na me we pacha na me

Inadunda roho oh

Nikifikiria kuachwa nguvu sina

Napona si malaria si corona

Sijui kwanini nikikuona hata

Magonjwa yanagoma kuja tena

Napona nikihisi na homa, nikikuona

hata maradhi yanagoma kuja ah

BRIDGE:

Mi sioni sio kwamba sina macho

Bali nakuona wewe

Sikio, sio kwamba sisikii nasikia

Moyo ooh ungekua na kioo ujionee mwenyewe

Mwenzio ooh nakuwaza nikilala nikisinzia

CHORUS:

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Instrumental Playing (Saxophone)

VERSE: 2

Love is in the air

We do it everywhere

When I look into your eyes, najiona mimi

Wakituona wanadata

Tena wanataka kinoma kinoma

Penzi limetakataka tumejipata,

Si unaona, si unaona

BRIDGE:

Mi sioni sio kwamba sina macho

Bali nakuona wewe

Sikio, sio kwamba sisikii nasikia

Moyo ooh ungekua na kioo ujionee mwenyewe

Mwenzio ooh nakuwaza nikilala nikisinzia

CHORUS:

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Haloo nakuita my love

Instrumental Playing (Saxophone)

The Mix Killer

Leave a Comment