Ndio hii mix ya kuanza wiki kwa kishindo!
RELATED: Pakua Bongo Flava Mapenzi Mix Inayomshirikisha Rosa Ree Ndani ya Mdundo
Pakua na kusikiliza โBongo Classics Hits Mixโ ambayo inamshirikisha Lady Jaydee, Gigy Money na wasanii wengine hapa.
Hapa unapata fursa ya kuwaskiliza wasanii hawa tajika na pia kujikumbusha jinsi mziki wa bongo umekua kadri miaka inavyosonga.
Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/CMBlog