“Experience and Sing Along to ‘Asante‘ Lyrics by Marioo, a Song Embraced by Enthusiastic Fans in Tanzania and Across East Africa.”
RELATED: Navy Kenzo – Fly Away Lyrics
Marioo – Asante Lyrics
Mimi ni nani nisiyeweza nisiyejua
Hata kushukuru
Mimi ni yupi nisiyeweza
Nisiyejua hata shukrani
Leo mapema I say
Aaah asante
Eeeh Eeeh Asante
Oooh Oooh Asante
Uuuh Uuuh Asante
Hata mdudu sijiiti
Labda wengine wana njia
Zao za kuomba
Mi sijiiti hata mnyama sijiiti
Labda pengine muda mwingine
Wana njia zao za kushukuru
Sijui Aaaaah
Watu wengi wanashindwa
Mimi hapa nikaweza
Wewe umeniwezesha kwanini nasahau
Watu wengi wakwama
Mimi hapa nikapita
Wewe ukanipitisha kwanini nasahau
Kama nina miguu miwili
Umenipa mikono miwili
Hapa nipo na macho naona
Mi ni mtu gani
Mimi ni nani nisiyeweza nisiyejua
Hata kushukuru
Mimi ni yupi nisiyeweza
Nisiyejua hata shukrani
Leo mapema I say
Aaah asante
Eeeh Eeeh Asante
Oooh Oooh Asante
Uuuh Uuuh Asante
Asante baba asante kwa kila leo
Aaay iye iye
Eeeh Aaaah
Ipi sababu ya mimi kutembea mpaka leo
Ipi sababu ya mimi kuiona hii leo
Ipi sababu ya mimi kuongea mpaka leo
We ndio sababu nadunda mpaka leo
Ooooh nikukumbuke
Kwenye raha sio nikiumwa tu
Ama nikiwa na shida tu
Uuuh kama nina miguu miwili
Umenipa mikono miwili
Hapa nipo na macho naona
Onaaa mimi
Mimi ni nani nisiyeweza nisiyejua
Hata kushukuru
Mimi ni yupi nisiyeweza
Nisiyejua hata shukrani
Leo mapema I say
Aaah asante
Eeeh Eeeh Asante
Oooh Oooh Asante
Uuuh Uuuh Asante