“Explore and Delight in the Lyrics of ‘Muda‘ by Abdu Kiba Ft. Vanillah & Ali Kiba, a Song Embraced by Fans in Tanzania and Beyond.”
RELATED: Bien – Ma Cherie Lyrics
AbduKiba Ft Vanillah X AliKiba – Muda Lyrics
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Kama kununa nishanuna sana
Ni muda wa kucheka aaah
Kama Julia nishalia sana
Ni muda wa kucheka Aaaah
Kama kununa nishanuna sana
Ni muda wa kucheka aaah
Kama Julia nishalia sana
Ni muda wa kucheka Aaaah
Iiiii nishalia sana
Ni muda wa kucheka Aaaah Aaah
Shida za nini we usikonde
Mwembamba kama mimi au kibonge
Njoo tuchome maini we usikonde
Talaalila taraaa heiiiii
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Muda muda muda ndo huu muda
Wakucheka
Nacheka Nacheka kucheka Nacheka muda
Nishachoka sana
Huu ndo muda wa kucheka
Na maokoto ya mwezi mwezi mwezi
Naenjoy
Mamacyegoo yego yegooooh
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Sasa ni Tarehe za mshahara
Na starehe na starehe
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
Nikiona zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinapandisha midadi
perfectly