LYRICS

Harmonize – Sijalewa LYRICS

Harmonize – Sijalewa LYRICS

The song delves into the upbeat energy that the artist, Harmonize, radiates, signifying his growth post-breakup. It’s a message to his former love, assuring her that his celebrations and drinks aren’t a result of heartbreak but pure enjoyment.

RELATED: Harmonize – Zanzibar Ft Bruce Melodie

Even though “Sijalewa” is just beginning its musical journey, the traction it’s receiving hints at its potential to be another chart-topper for Harmonize. Both fans and music critics are lauding the track, reinforcing Harmonize’s stature as a dominant musical force in Africa.

Harmonize – Sijalewa LYRICS

Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe
Mbona Simuoni (Simuoni)
Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe
Me Siyaoni (Siyaoni)
Na Ukiniona Nipo Kiwanja
Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja
Jicho Likae Kijanja

Mmh Thanks Baba God For The Blessing
Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing
Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi

Leoooo
Sijalewaaa, Sijalewa
Sijalewa, Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa, Sijalewa
Sijalewa, Me Nafanya Kusudi Tuu

(Aeee Aeee)
Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
Mmh (Aeee)

Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua
Siku Iyo Mtamjua
Mwenzenu Pombe Nishaacha,
Kuvuta Nishaacha
Ila Mapenzi Siwezi Acha
Japo Yananiumiza
Na Ukiniona Nipo Kiwanja
Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja
Jicho Likae Kijanja

Mmh Thanks Baba God For The Blessing
Am Living My Life No Stress
Music Is Just My Dream Am Chasing
Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
Piano Za Kisasa Na Tbt
Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi

Leoooo
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi
Sijalewaaa
Sijalewa
Sijalewa
Me Nafanya Kusudi Tuu

Na Ukiniona Nipo Kiwanja
Nipo Hapa Kuruka Kwanja
Mara Moja Moja Navutaga Ganja
Jicho Likae Kijanja

Also, check more tracks from Harmonize;

1 Comment

Leave a Comment