“Nilivyo” is a love song that expresses the desire for love just the way it is. Despite not having wealth, the song conveys the ability to bring happiness to a loved one. It’s a sweet melody performed by Madini Classic featuring Vivian.
RELATED: Vivian Ft Prezzo – Uko Tu Sawa (Prod. Zj Addikt)
Madini Classic Ft Vivian – Nilivyo LYRICS
This love is a beautiful thing
Ila kwako wee imekulemea…
Sababu ni wewe jua inanichoma kibandani
Watch you treat me right I′ll give you
Anything you need i will be your one
And only,
Watch you treat me right I’ll give you
Anything you need baiiby…
Nilizaliwa migori mambo ya uzungu mi
Sielewi kidogo unacho pata baiby
Usivimbe ipokee,
Hata tukila omena usiseme sio sawa (sio sawa)
Am a high class girl bila hiyo sio sawa
Baiby itakuwa sawa… (mmmm yeyeyeye)
Basi nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Nami nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Basi nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Nami nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Sina visenti ukweli ila kitandani hatari akuku danger
Usiniache baridi kipenzi siunajua mum siyo sawa
Nataka niwe na wewe lakini no no mans with excitement
Naona ugumu kipenzi am a high class girl
Chonde chonde mami usije niacha kilema wa mapenzi
Taratibu baiby njoo twende sawa
Chonde chonde dady I don′t wanna be your slave in love
Fika bei basi eeeeeeeei
Hata tukila omena usiseme sio sawa (sio sawa)
Am a high class girl bila hiyo sio sawa
Baiby itakuwa sawa… (mmmm yeyeyeye)
Chonde chonde mami usije niacha kilema wa mapenzi
Taratibu baiby njoo twende sawa
Chonde chonde dady I don’t wanna be your slave in love
Fika bei basi eeeeeeeei
Basi nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Nami nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Basi nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Nami nielewe nilivyo nilivyo nilivyo
Also, check more tracks from Vivian;