LYRICS

Israel Mbonyi – Nina Siri LYRICS

Israel Mbonyi – Nina Siri LYRICS

“Nina Siri,” is a gospel masterpiece that beautifully weaves together uplifting melodies and profound messages of faith, hope, and gratitude. This soul-stirring composition is an eloquent expression of finding hidden strength in Christ Jesus, empowering believers to stand boldly and renew their spirits.

RELATED: Israel Mbonyi – Nk’umusirikare

With its potent themes of divine secrecy and ultimate victory, “Nina Siri” serves as a source of inspiration and reassurance, reminding us that our lives are securely anchored in the faith.

Israel Mbonyi – Nina Siri LYRICS

GET AUDIO HERE

Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha nikirukaruka hossana amen
Yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen
(Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri

Yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen)

Wambie wanaolia wakiteswa na malimwengu;
Waonjeni neema yake na rehema yake mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru wakiimba hossana amen

Also, check more tracks from  Israel Mbonyi;

Leave a Comment