Feel free to read and sing along with the lyrics of “Hapa” by Ibraah. This song has resonated strongly with fans in Tanzania and across East Africa.
RELATED: Whozu – Ameyatimba Remix Ft Billnass X Mbosso LYRICS
Ibraah – Hapa LYRICS
Kama Haujaanza Mimi Nishaanza Kwenda
Kama Haunipendi Mimi Nishakupenda
(Aaah, Ooh Yeah)
Ah
Baby Baby
Sogea Karibu Nikunong’oneze Sweet
You Look So Fine Ungekuwa Nguo
Ningevaa Nipendeze Cute
Baby Iiiih Wewe Ndo Change Kidege
Umenikamata Sifurukuti
(Mmmh)
Baby Weeweee Eeh
Changu Chako Chako Changu
Umenibana Pete Tamu Yangu
Kwani Hujui Wewe Ndo Msiri Wangu
Unanitembeza Kwenye Tope Kwa Mguu
Aibu Baby
Hata Wakisema Waambie Wewe
Ndio Kiboko Ya Mimi
I Swear Unanikosha Bibie Mwenzako Nimekula Yamini
Me Napenda Ukisema
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Haaapaaa
Kiburi Hakijengi Baby, Na Wala Mapenzi
Hayaendeshwi Kwa Hasira
Nitaenda Wapi Baby Kwako Mirembe Unanipa Tiba Tahira
Sijui Nikupendeje Maana Moyo Unaona Ushakupenda
Na Ushamaliza Wananiita Bwege Marafiki
Waadai Nakupenda Kupitiliza
Baby Eti Nakudekeza Sana
Nakuendekeza Saana Baby
Hata Ndugu Na Jamaa
Wanasema Umenipa Chaundani
Changu Chako Chako Changu
Umenibana Pete Tamu Yangu
Kwani Hujui Wewe Ndo Msiri Wangu
Unanitembeza Kwenye Tope Kwa Mguu
Aibu Baby
Hata Wakisema Waambie Wewe Ndio Kiboko Ya Mimi
I Swear Unanikosha Bibie Mwenzako Nimekula Yamini
Me Napenda Ukisema
Eeh
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Me Napenda Ukisema
Eeh
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Unaenjoy Tam Tam
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Aah Baby
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa
Eti Ni Tam Tam Unaenjoy
Nikushike Hapa Hapa, Hapa Na Hapa