LYRICS

Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Amen LYRICS

Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Amen LYRICS

Amen” is a heartfelt prayer transformed into a song, dedicated to seeking blessings from the divine and wishing for prosperity, all while knowing that even in the presence of adversaries and skeptics, our faith remains unshaken.

RELATED: Diamond Platnumz – Dollars & Paris Ft Wouter Kellerman

Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Amen LYRICS

Nainuaa mikono yangu
juu mikono juu

Amen amen amen amen
Baba yetu wambinguni (amen)
Jina lako litukuzwe (amen)
Utakalo lifanyike (amen)
Dunian kama mbinguni (amen)
Utupe leo ridhiki zetu (amen)
Utusamehe makosa yetu (amen)
Kama tunavyowasamehe waliotukosea
Eti kama tunavyowasamehe waliotukosea

Najiuliza why hawataki tuenjoy si tufurahi
Wakiona tunajidai wananuna kama vile wanatudai

Utupe majumba ya thamani (eeh baba)
Magari nane nane ndani (eeh baba)
Wake wazuri wakisom ( eeh baba)
Ila wastuchit jamani (eeh baba)

Nainuaa mikono
yangu juu mikono juu
Eeh baba

Kekekekekeke ( eeeh baba)
Namuombea latifa lati titi
Na kesho nikifa awe sititi
Namajita rafikiki
Wanangu wafaida navikiki
Vibunda vingi mfukoni
Tukifa twende peponi
Wanafki wote motoni wakaisome namba
Bariki molaa tupate pesa magari tele amen
Tuweze komesha hawa ngedere

Wanaiomba mvua kunyesha wambie sie bado tunakesha
Nawanangu sakamapesa na mwaka huu tutawakomesha
Wanaiomba mvua kunyesha wambie sie bado tunakesha
Watuombee dhiki nakuteswa sie tunaiomba mipesa
Mama tumpeni pe jamni pe ai mipesa hiyo ona mipe
Tumwagie mipe jamni pe oya mipesa hiyo ona mipe
Mi ni mtumzima nnaakili na ndio mana nimetoka
Mambo yakunletea ushauri kwenye bata unanifanyia makosa
Mi ni mtu mzima nnakili na ndio mana nimetoka
Mambo yakunletea ushauri kwenye penzi una una….
Nainuaa mikono yangu juu mikono juu

Eeeh baba
Kekekekekek eeh baba

Also, check more tracks from Diamond Platnumz;

Leave a Comment