Tayarisha playlist yako ya wiki kwani tunaskuma wiki kwa kishindo.
RELATED: Mdundo Yabadilisha Tasnia ya Mziki kwa Kuwezesha Malipo ya Mirabaha Ya Haki
Tunaendelea kufurahia mlipuko wa mziki mzuri kutoka Tanzania wiki hii.
Sikiliza mix moto sana ya ‘Bongo Piano Mix’ ikiwemo ngoma #ENJOY yake Jux na Simba Diamond Platinumz pamoja na ngoma zingine kali
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/CMBlog