Konnect Group ni wauzaji na wasambazaji wa vifaa mbali mbali vya Gesi kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kwanzia nyumbani mpaka maofisini.
Pia Konnect Group ni wasambazaji wa vifaa mbalimbali vya umeme. Ukinunua bidhaa kwao wanakusafiria mpaka pale ulipo bure.
Wapigie simu Konnect Group: +255 756 686 214
Email: [email protected]
Facebook: Konnect Group
Majiko ya Gesi Nikai, Bei ya jumla ni Tsh 70,000/= tu kuanzia pc 10, kumbuka tunakuletea mzigo popote pale ulipo Tanzania bure.
Burner. Bei ya jumla ni TZS 3,000/= tu kwa pc, Carton moja zinakaa pc 100, Burner zipo za Orgac, Dorado, Ruby
Trivet/Chanja/Mafiga. Bei ya jumla ni TZS 2,700/= tu kwa matumizi ya mtungi wa gesi wa kilo 6. Zinakuwa 100 kwenye kifungashio (Packaging)
Taa za Gesi. Bei ya jumla ni TZS 28,000/= tu. Carton inakuwa pc 12. Tambi zake dozen ni TZS 10,000/= tu.
Kiberiti cha Gesi. Bei ya jumla ni TZS 3,500/= tu. Gesi ikiisha kinatumia cheche.
Low Pressure regulator ya kubonyeza/Automatic. Bei ya jumla ni TZS 8000/= tu kwenye Carton zinakaa pc 50 jumla ni kuanzia pc 25.
Low pressure regulator ya kuzungusha moja kwa moja/Manual. Bei ya jumla ni TZS 7,500/= tu, Kwenye Carton zinakaa pc 50.
High Pressure regulator. Bei ya jumla ni TZS 25000/= tu, Jumla ni kuanzia pc 10.
Konnect Group Nunua vifaa vya Gesi jumla kwa bei poa kabisa