“Mungu ibariki Afrika is the national anthem of Tanzania. The anthem is the Swahili language version of Enoch Sontonga’s popular hymn Nkosi Sikelel’ iAfrika which is also used as Zambia’s anthem (with different words) and part of South Africa’s. It was formerly also used as Zimbabwe’s anthem”
RELATED: Tanzania National Anthem (English) – Lyrics
Tanzania National Anthem (Swahili) – Lyrics
Tanzania
Original Kiswahili Words
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
CHORUS
Ibariki Afrika
(repeat)
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
CHORUS
Ibariki Tanzania
(repeat)
Tubariki watoto wa Tanzania.