ENTERTAINMENT

Sababu 3 Kubwa Kwanini Diamond Hatoweza Kumuoa Zuchu ,Mama Dangote Atajwa (Video)

Gumzo limezidi kuwa kubwa mitandaoni baada ya bwana Simba ,Diamond Platnumz kutamka hadharani kuwa bi Zuhura almaarufu kama Zuchu ni mke wake.Hili sio jambo geni wala la kushangaza ,watu tulitegemea tu kwamba siku ipo nayo inakuja ambapo wawili hao wataweka wazi mahusiano yao baada ya kuamua kuyaficha kwa muda mrefu huku wakituigizia drama za kikorea.

Maoni yamekuwa mengi juu ya couple hiyo ya kistaa,wengine wakisema kuwa wawili hao wanapendezana na kuwaombea wadumu pamoja ili wawe kama beyonce na Jigga, huku wengine wakidai hakuna mapenzi ya kweli kati yao bali ni maigizo na kutumiana wakisubiri kuona mbio za panya zinavyoishia ukingoni.

Hata hivyo wataalamu wa mambo wanaongalia mambo ya kimbea kwa jicho la tatu wamedai kuwa hata dunia ipinduke ,staa wa bongo fleva diamond platnumz hawezi kumuoa binti huyo wa malkia Khadija Kopa na kutaja sababu zifuatazo.

Bonyeza Kutazama Video.

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment