LYRICS

Marioo – Anisamehe LYRICS Ft. Rayvanny

Marioo – Anisamehe LYRICS Ft. Rayvanny

Tanzanian fast-rising Bongo Fleva recording artist, singer, and songwriter, Marioo unleashed a new song titled, Anisamehe from his debuted album tagged, “The Kid You Know”.

RELATED: Marioo – Lonely Ft. Loui X Abbah

The Kid You Know is solidified with 17 tracks that see Marioo working with Tanzanian artists such as Harmonize, Rayvanny, Ali Kiba, and Loui while Nigeria’s Ladipoe, Dunnie, Kenya’s Jovial, and the rest made up the international roster.

Marioo – Anisamehe LYRICS Ft. Rayvanny

DOWNLOAD MP3

Mwenzake nimeteleza
Kunihukumu ananionea
Mwenzake nimeteleza
Ananikukumu ananionea
Aaah nmemzoea
Na siwezi kuishi bila yeye
Aaah ye ndo nampenda
Sijiwezi mama nakufa

Basi mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe

Vanny Boooy
Sura nzuri atabasamu
Ukimuona hapendezi
Na makosa yetu wanadamu
Pekeang siwezi
Uuuyeee
Nalewa nakesha
Aniokoe kabla cjawa Malaya
Nalewa nakesha Mimi
Aniokoe kabla cjawa Malaya

Basi mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mwambieni anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe

Nenda kamwambie babe
Ninataka Tena alichonipaga
Nenda kamwambie babe
Anikune Tena anaponikunaga
Chuuiii

Also, check more tracks from Marioo;

Leave a Comment