ENTERTAINMENT

Mambo 5 Yatakayokuaminisha Kuwa Mtoto wa Hamisa Sio Wa Diamond – Ushahidi wa Matukio huu hapa..

Mambo yanazidi kuwa ya moto kwa Hamisa Mobetto ambaye Walimwengu wamekuwa wakimwanda mtoto wake wa pili, Dylan ambaye staa huyo amezaa na mwanamuziki diamond platnumz.

Ni kwa muda sasa wananzengo wamekuwa wakidai kuwa huenda mtoto huyo sio wa diamond platnumz, yani diamond sio baba mtoto wake huku wengine wakidai kuwa mtoto huyo ni wa billnas, wengine wakidai kuwa mtoto huyo ni wa msaniii kutoka kenya ,Jaguar.

Mambo yalianza kuibuka upya tena siku za hivi karibuni baada ya Mpoki na wenzake kupitia kipindi chao jioni ya leo kuyaibua upya madai hayo ambayo yalimkera Hamisa hadi kupelekea kuandika maneno makali dhidi ya watangazaji hao.

Maneno yamezaidi kuibuka zaidi baada ya diamond kumpost mtoto wake mwingine wa kiume aliyezaa na Zari akimtakia kheri ya katika siku yake ya kuzaliwa huku akindiaka ujumbe unaosema kua nikuachie kijiti, ujumbe ambao watu wengi wameutafsiri kama dongo zito kwa Hamisa ambaye anapambana kivyake na mtoto wake bila support yoyote kutoka kwa baba mtoto.

Kwenye sehemu ya comment ya post hyo ya diamond watu wengi wameuliza kama ndo tayari ameshaanza kugawa urithi kwa watoto wke,huku wengine wakijiuliza kwann amekuwa na upendeleo wa kuwapost watoto wake wengine aliozaaa na Zari na sio Hamisa?

Sasa leo tunataka tuagalie mambo matano yanayoweza kutuaminisha au kututia mashaka kwamba pengine Dylan sio mtoto wa Diamond Platnumz kama Hamsa anavyodai.

Mambo 5 Yatakayokuaminisha Kuwa Mtoto wa Hamisa Sio Wa Diamond – Ushahidi wa Matukio huu hapa..

Hamisa Hassan Mobetto (born December 10, 1994), is a Tanzanian singer, model, businesswoman and socialite.

Early life and education

She was born in Mwanza, Tanzania on the 10th December 1994 to a Muslim family and was passionate about music as a child. She pursued her career in music after completing high school.

Model

In 2011, she participated for the Miss Indian Ocean 2011 beauty pageant, she emerged as 2nd runner up. That same year, she also emerged second which made her compete for Miss Tanzania 2011. In 2012, she participated in Miss University Africa and succeeded among the top 10.

In 2017, She was nominated for People’s Choice Award and Super Mum at the Starqt International Awards.

In 2018, she won Female stylish Of The Year at the Swahili fashion Week Awards. That same year, she was appointed as the host of Miss Tanzania Beauty pageant. That same year, she was nominated for Best East African Woman Entrepreneur at the BEFFTA Awards.

In December 2020, she won Best Female Digital Model of the Year at the Tanzania Digital Awards.

Music

In 2017, Hamisa appeared on a video with Diamond Platnumz on the hit single Salome.

In 2018, she released her debut single “Madam Hero”. The single introduced her in Bongo Flava industry as a musician and has since garnered over two million views on YouTube. In that same year she released the single “Tunaendana”.

In 2021, she launched her own record label, Mobetto Music.

Personal life

Mobetto was previously in a relationship with Francis Ciza and they became the parents of a daughter, Fantasy Majizzo. She was then in a relationship with singer Diamond Platnumz and they welcomed a son, Deedalayan Abdul Naseeb, in 2017. The couple later broke up for unknown reasons.

In September 2021, it was rumoured that she was in a relationship with American rapper Rick Ross.

Also, check out more from Hamisa Mobetto;

Leave a Comment