Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amelazwa hospitalini leo hii. Kupitia Insta story yake Diamond Platnumz ameandika kuwa Christmas mbaya kwa upande wake.
RELATED: Diamond Platnumz – Chitaki (Prod. S2kizzy)
Dakika 50 zilizopita Diamond Platnumz ame-share baadhi ya Clip akiwa amelazwa Hospital. Hii, sio kiki, Simba anaumwa kweli, Clip zinaonesha hatua zote za uwekaji wa Drip.
Mpaka sasa Diamond hajafunguka anasumbuliwa na tatizo gani na ni muda gani haswa ameambiwa na Daktari kwamba atakuwa sawa na ataruhusiwa kuondoka.
Watanzania wote, kila mmoja kwa Imani yake amuombee Diamond Platnumz apone mapema zaidi ili azidi kujiandaa vyema na Show yake na Zuchu itakayofanyika Tarehe 31 pale Ramada.
Diamond Platnumz anaumwa na amelazwa Hospitalini (+Video)
Also, check more tracks from Diamond Platnumz;
- Rayvanny – Woza Ft. Diamond Platnumz (Prod. Trone)
- Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Bado Sana (Prod. Mr LG)
- Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Shusha
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)
Diamond Platnumz Bio
Nasibu Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo flava recording artist, dancer, philanthropist and a businessman of Ha heritage.
He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Wasafi Bet and Wasafi Media. Diamond has gained a massive following in East and Central Africa. He became the first Africa-based artist to reach a combined total of one billion views on YouTube.
After signing a record deal with Universal Music in 2017, Platnumz released his third studio album, A Boy from Tandale (2018). In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.