Tanzanian Bongo Flava afro-pop musician from Mwanza, Vanillah is back with a new video song titled, Unanisitiri.
RELATED: Vanillah – Ananipigania Ft. K2ga
QUOTABLE LYRICS
Oooh oooh
Umenipa madaraka nitawale mwili wako
Nje ya mapenzi niwe rafiki wa maisha yako
Nishafanya makosa nikajeruhi moyo wako
Nashukuru haukutoka upendo uliondani yako
Tulivyoanza mapenzi sikudhani tungefikia huku
Mi sio wakushindwa kulala mpka unige mabusu
Na kama siku nikikuacha basi nitaipata adhabu
Na ashindwe shetani hasilete utengevu mana najua
Ikiwa kupata chumba chakupanga ni ngumu
Sasa nitawezaje kupata moyo wakuishi nidumu
Mungu alijibu kunipa wewe (unanisitiri)
Unanipendaa nana (unanisitiri)
Silipi chochote mi (unanisitiri)
Watch, “Vanillah – Unanisitiri” below;
VIDEO Vanillah – Unanisitiri MP4 DOWNLOAD
Also, check out more from Ommy Dimpoz;