Inawezekana kabisa kama si hakika kuwa Kijana wetu kutoka lebo ya Konde music ,Bwana Rajab ana tatizo la ugumba ,yani hawezi kumpa mwanamke kibendi a.k.a Ujauzito.
Hii imekuwa ikisemakana mara nyingi licha ya mmakonde kutuziba mdomo baada ya kutangaza hadharani kuwa ana mtoto na aliyekuwa mchepuko wake.Hata hivyo wambea wameendelea kunyapia nyapia ili kufukua ukweli wa mambo.
Sasa leo kupitia Makala yetu ya Citi muzik Tv tumekuchamulia kwa undani kuhusu sakata hilo..
Unaweza kutazama video kwa kubonyeza Link hapo chini
Also, check more tracks from Harmonize;