Aunt ezekiel moja kati ya wale madada wa movie wakali waliowahi kuipagawisha tasnia ya filamu .Aunt anaingia kwenye kund la kina wema ,uwoya na wengine ambao walianzia kwenye u miss na baadae kuingia kwenye uigizaji.
Aunt anapendwa kwa vitu vingi ,ukiacha uwezo wake wa kuigiza ni ile sura yake ya kitoto pamoja na kashep fulan hv amazing ambacho kanaweza kumchanya shabiki yeyote anayemtazama.
Ukiachana na hayo yote,Aunt amewahi kukwaa skendo kadhaa ambazo mpaka leo zinamuandama katika maisha yake.
Hizi ndo Skendo 6 Chafu Zinazomuandama Aunt Ezekiel..