Zuchu – Kwikwi LYRICS
INTRO
Rakata rakata rakata
Reke rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti
Rukutu
VERSE 1
Hedi Kudo umeduso ilivyolonga inakwangua makoko
Haiombi Chudo ona nitakufa wasunami
Najaribu tandiko Aweee banaaa
CHORUS
Kwikwikwikwi nitalia
Kwikwikwikwi ukiniachili
Kwikwikwikwi nitalia
Kwikwikwikwi so kwa unavyonipatia
Ooh My Gud Oh! I’m crazy for you
Ooh My Gud Oh! I’m crazy for you
Rakata rakata rakata
Reke rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti
Rukutu Rukutu
VERSE 2
Tena uzikumbuke ahadi zile ulizonigea
Mapenzi vita weee ndo gadi vipi utanitetea
Usiruhusu wadakaji unawajua mafisadi watapata cha kunisemea
Akili itazunguka zunguka zunguka zunguka Itazunguka ukiniacha mwenzako
Maana ntaumbuka uka umbuka umbuka umvuka nitaumbuka yote kwa ajili yako
CHORUS
Kwikwikwikwi nitalia
Kwikwikwikwi ukiniachilia
Kwikwikwikwi nitalia
Kwikwikwikwi so kwa unavyonipatia
Ooh My Gud Oh! I’m crazy for you
Ooh My Gud Oh! I’m crazy for you
Rakata rakata rakata
Reke rekete rekete
Reke rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti
Rukutu rukutu
Also, check more tracks from Zuchu;
- Zuchu – Tanzania Ya Sasa (Prod. Lizer)
- Zuchu – Raha (Prod. Lizer)
- Zuchu – Kwaru
- Zuchu Ft Khadija Kopa – MAUZAUZA
- WCB Wasafi – Jibebe Ft Diamond Platnumz, Lava Lava & Mbosso
- Krizbeatz – Proper Ft. Diamond Platnumz & Tekno
- Diamond Platnumz – Number One Remix Ft Davido
- Diamond Platnumz Ft Khadija Kopa – Nasema Nawe
- Rayvanny Ft Diamond Platnumz – Vumbi (Prod. S2kizzy)
- Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)
- Zuchu Ft Mbosso – Ashua