DC wa Instagram ,Mtangazaji Mwijaku ameibuka Ustawi wa Jamii kumshitaki Msanii Harmonize akidai kuwa anawanyanyasa kingono Kajala na mwanae Paula.
Mwijaku ambaye siku za hivi karibuni amekorofishana na msanii huyo wa bongo fleva amekuwa akivujisha siri mbalimbali za Harmonize huku akidai kuwa Boss huyo wa kondegang amekuwa akitumia kipato chake kama fimbo ili kuweza kubaki kwenye mahusiano na Kajala huku akiwa anamnyemelea kingono mwanae Paula.
Mwijaku amefika katika kituo cha Ustawi wa jamii kilichopo katika hospital ya Mwanyamala kutoa taarifa hiyo huku akitaka wahusika ambao ni Harmonize ,kajala na Paula kuitwa na kuhojiwa.
Also, check more tracks from Harmonize;