Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso came through with a new song titled, Shetani.
Mbosso – Shetani LYRICS Ft. Costa Titch X Alfa Kat
Uchovu wa siku nzima nafsi nataka
Nipongeze
Tumwagilie mtima wahuni wang mjisogez
Shogoloza unga unga mwanangu upendeze
Ukitongoz funga Munda mtoto kamkoleze
Chorus
Aaah shetan amepita
Leo ndani mitungu had jogoo anawika
Aaaah dj acha sifa
Hizo mbwembwe minjonjo utachana spika
Verse 2
Oooh Salome salome
Nimempenda huyo shoga yako salome
Oooh Salome salome
Niweke niwe Shem wako Salome
Chorus
Aaah shetan amepita
Leo ndani mitungu had jogoo anawika
Aaaah dj acha sifa
Hizo mbwembwe minjonjo utachana spika
Yalah yalah (yalah)
Yalah yalah yaleeh (yalaaah)
Yalah yalah (yalah)
Yalah yalah yaleeh (yalaaah)
Costa Titch
Oooh Monday to Sunday
Ooh sikalamanje I need a trip Zanzibar
Need a rock ??????????
Coz I don’t want no stress
?
?
Alfa kat
…………..
So lets go to party
Mtoto wangu let’s go to party
So lets go to party
Kam hakuna wasi wasi aiya iyaaa
Chorus
Aaah shetan amepita
Leo ndani mitungu had jogoo anawika
Aaaah dj acha sifa
Hizo mbwembwe minjonjo utachana spika
Also, check more tracks from Mbosso;
Keep burning the song it 2fine…..