Tanzanian fast-rising Bongo Fleva recording artist, Marioo is back again with another astonishing banger titled Sina Baya.
Marioo – Sina Baya LYRICS
Mnanipenda yes papaa Aaaah yes papa
Mnanikubali yes papa Eeeh yes papaa
Si Mnanipenda yes papaa Aaaah yes papa
Mnanikubali yes papa Eeeh yes papaa
Si Mnanipenda yes papaa Aaaah yes papa
Mnanikubali yes papa Eeeh yes papaa
Sina noma na Dangote
Sina noma na King Kiba
Sina noma na king Kiba
Sina noma na Vanny Boy
Nikisema Mmmmh Marioo
Mnasema Aaaaah huna baya
Sema Mmmmh Marioo
Mnasema Aaaaah huna baya
Shii chukutu chukutu chukutu
Chukutu chukutu Kukutu kukutu
Kukutu kukutu kukutu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Yani kamba juu ya kamba miwa
Kama fei toto kila kona me natamba
Mawe yote ya moto
Masela wangu Ooooh tulewe leo Ooooh tulewe leo
Masela wangu Ooooh tukunywe leo Ooooh tukunywe leo
Sina noma na Chibudenga
Sina noma na King Kiba
Sina noma na Kondeboy
Sina noma na Chui
Nikisema Mmmmh Marioo
Mnasema Aaaaah huna baya
Sema Mmmmh Marioo
Mnasema Aaaaah huna baya
Shii chukutu chukutu chukutu
Chukutu chukutu Kukutu kukutu
Kukutu kukutu kukutu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Mmmmmh baaad
Nikisema
Also, check more tracks from Marioo;