LYRICS

Ethan Muziki – Sema Lyrics

Ethan Muziki - Sema Lyrics
Ethan Muziki – Sema Lyrics

Ni ni lini tukaogopa kunyeshewa
Tumekazana kufika hapa hatujapewa bure
Na hata zile siku nimelemewa
Unanipenda mamie
Unaweza lala kwa kitanda ntalala chini
Juu wewe raha ukipata napata Mimi
I will love you in the dark and in the florescent light
Na Ntafanya ninachoweza darling

Ikisema, roho imesema
(Imesema, imesema mamama)
Tutaenda l hadi siku itasimama
(Itasimama, itasimama mamama)

Ni baraka gani, kukupata we
Sitawacha kitu chochote kitu-tenganishe
Nizeeke nikiwa na we
Kila siku nikuchague
Unaweza lala kwa kitanda ntalala chini
Juu wewe raha ukipata napata Mimi
I will love you in the dark and in the florescent light
Na nitafanya ninachoweza darling

Ikisema, roho imesema
(Imesema, imesema mamama)
Tutaenda, hadi siku itasimama
(Itasimama, itasimama mamama)

Ona mtu na wake
Ona mtu na mtu wake
Anafanya niwake
Ona mtu na mtu wake
Ukipata wa roho, wewe iweke pete
Kumuacha nianze aje

Ikisema, roho imesema
Imesema, imesema mamama
Tutaenda hadi siku itasimama
Itasimama, itasimama mamama

Leave a Comment