Bahati – Mambo Ya Mhesh LYRICS
Kanavyojikunywesha bia (beer)
Kanavyonitingishia na hakajavaa sindilia (lia)
Haka sitakaachilia
Ulivyokata hiyo (eey)
Wanipandisha joto to ulivyopinda mgongo
Wanipandisha joto to
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Coz I’m gonna do what you did to me,
You’re so beautiful good to me
Bssi serereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Mambo ya mhesh mhesh mhesh
Mambo ya mhesh toto weka kando
Nakubless bless bless kama mhesh
Nikurotate nikupokeee nikubebe kama dolly kisha nikutongozee we mtamu kama kachori
Hilo tabasamu umbo lako
You’re just enough for me
Hilo tabasamu umbo lako
You’re just enough for me
Ulivyokata hiyo (eey)
Wanipandisha joto to ulivyopinda mgongo
Wanipandisha joto to
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Kata mauno baby ukibaki nitakubeba mgongo
Coz I’m gonna do what you did to me,
You’re so beautiful good to me
Bssi serereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Mambo ya mhesh mhesh mhesh
Mambo ya mhesh toto weka kando
Nakubless bless bless kama mhesh
Coz I’m gonna do what you did to me,
Basi serereka kula hepi yote on me
Mambo ya mhesh mhesh mhesh
Mambo ya mhesh toto weka kando
Nakubless bless bless kama mhesh
Also, check more tracks from Bahati;