LYRICS

Ruby – Tai Chi Lyrics

Ruby - Tai Chi Lyrics
Ruby – Tai Chi Lyrics

VERSE 1

Nguo kaishona wanajuta waliofumua leo

Mungu kaniona kanijibu zangu dua

Penzi mbaazi nakula huku najilamba aah kaniunga

Huku najigamba samaki nampara magamba

BRIDGE

Kula mbakishie baba sibakishi mi navimaliza

Na kama tonge likinikwama yeye ndo maji ananituliza

CHORUS

Nikitaka za Tai chi (Sawaaah) hajapigiwa anacheza,

Mwali nina degree (Ayaaah) Tui sitemi nameza

Baby hii ndo style gaani (Ooooooh Tai Chi)

Mbona umeganda hewani (Ooooooh Tai Chi)

Vurugu kwakwaru kama nyani (Ooooooh Tai Chi)

Kwani mwalimu wako nani (Ooooooh Tai Chi)

VERSE 2

Kanipa yyote nidambue dambu udambu nirumbue, kaniruhusu niamue

Nini nichague nifunike unifunue nibandike unibandue eeeh

BRIDGE

Kula mbakishie baba sibakishi mi navimaliza

Na kama tonge likinikwama yeye ndo maji ananituliza

Nikitaka za Tai chi (Sawaaah) hajapigiwa anacheza,

Mwali nina degree (Ayaaah) Tui sitemi nameza

CHORUS

Baby hii ndo style gaani (Ooooooh Tai Chi

Mbona umeganda hewani (Ooooh Tai Chi)

Vurugu kwakwaru kama nyani (Ooooooh Tai Chi)

Kwani mwalimu wako nani (Ooooooh Tai Chi)

Leave a Comment