ENTERTAINMENT

Rais Samia : Vijana Wanategemea Supu Ya Pweza Na Mkongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo Septemba 30, 2022 jijini Dodoma.

Amewataka vijana kula mlo kamili ili kusaidia uzalishaji mzuri ndani ya jamii na sio kunywa supu ya pweza pekee kama vijana wanavyodhani.

“Kwanini watoto wetu wakifika wakati wa kuongeza jamii wanahangaika, mara supu ya Pweza, tuna tatizo na mnalijua mnalificha watafiti fanyeni utafiti na tatizo hili kwa sababu halisemwi ni siri linaumiza zaidi vijana wetu na hata wanatumia udongo wa Congo lakini tatizo kubwa liko kwenye lishe” Alisema Rais Samia.

Also, check more tracks from Marioo;

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Leave a Comment