Nandy – Naburudika LYRICS Ft Nviiri The Storyteller
VERSE 1
Marashi ya karafuu yamenimwagikia kichwani,
Nimesheheni harufu ya uwaridi ashumini
Na sielewi, umenichanganya changanya
Umenipiga nusu kaputi ya mapenzi
Na sielewi, ipi karoti ipi nyanya
Kwani ipi ndala na lipi buti nimepatwa uchizi
Unanikimbiza kama Duma (Duma),
Nishasahau ya nyuma (nyuma)
Aaaah baby unavyojituma (Tuma) Mi niko hoi
Ona ninavyoguna (guna) kwani nani amenuna (nuna)
Yani unavyonibana mi sikohoi
CHORUS
Kweli mapenzi ni burudani,
Naburudika naburudika,
Burudani naburudika mieee
Jama mapenzi ni burudani,
Naburudika naburudika burudani naburudika mieee
VERSE 2
Maisha nywee mambo shwari, maisha yetu kila siku party
Sema ngweee nidunge kaki kitenge nayo iwe shati
Take my name itangazwe BBC, vile umeangukia BBC
Hapa kila siku joto haizimiki moto
Naona rahaaaa, kikombe changu umejazaa
Naona far kichwani kila nnapo kuwaza
Nakuja Dar tuma location nitafwata
Hivi ndivyo inafaa Ooooh no
CHORUS
Kweli mapenzi ni burudani,
Naburudika naburudika,
Burudani naburudika mieee
Jama mapenzi ni burudani,
Naburudika naburudika burudani naburudika mieee
Also, check more tracks from Nandy;