CITIMUZIK TV ENTERTAINMENT

Lulu Adai hana Muda Wa kumfatilia Mume Wake,Kisa..

Staa Wa Bongo muvi Elizabeth Michael A.K.A Lulu amedai kuwa hana muda wa kumfuatilia mume wake Majjizo.

Lulu amedai anafanya hivyo ili kuepusha matatizo yasiyokuwa na suluhu.Lulu amefunuka hayo akiwa anamjibu shabiki aliyemuuliza kama ana tabia ya kunchunguza mume wake.

Unaweza kufuatilia zaidi story hii kupitia Channel Yetu Ya Youtube hapo chini

Kwa Video Zaidi za Habari na Burudani Usiache Ku Subscribe Channel yetu ya Youtube @CitiMuzik TV

Leave a Comment