Kusah – Shemeji Yenu LYRICS
OUTRO
Bilinge bilinge yooh yoh
Bilinge bilinge yooh yoh
VERSE 1
Jirani ooh jirani kwani we ukipenda inakuwaje
Maana jaman ooh jaman mi nakuwaga chizi mi mujinga kabisa
Mwenzako mimi nikipenda, kabla ya chakula natokwaga na udenda
Na sijui kusarenda yani ukig’ata ndio nazidi kukupenda
Na ninakinyongo au wivu umejaa
Mi sina dogoo mura vita ni vitaa
Na wakisema nikicheche ee, anacho nipa sijaona aaah wapi
Sitojaribu nimtete eeeh, anachonipa sijaona baby
CHORUS
Ndio shemeji yenu shemeji yenu hata mumtetee teteee
Ndio shemeji yenu shemeji huyoo ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu shemeji yenu huyoo, kwake nimesha zama kina
Ndio shemeji yenu shemeji yenu huyoo nimezama mazimaa
VERSE 2
Nazishika nabeba lawama huu
Ataniua huyu mtoto wa mama mkwe hee
Chombo imetawala bahari maneno wala mimi sijali
Nataka anifiche twende mbali, niwe wakwake peke yake tu
Si mnasema nacheat mwenzenu siamini
Utamu wa kijiti ukuchome chini aki mimi na yeye mashahidi wa nini
Maana ni kwel tumekula ya mini
Na wakisema nikicheche eee, anacho nipa sijaona aaah wapi
Sitojaribu nimtete eeh, anachonipa sijaona baby
CHORUS
Ndio shemeji yenu shemeji yenu hata mumtetee teteee
Ndio shemeji yenu shemeji huyoo ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu shemeji yenu huyoo, kwake nimesha zama kina
Ndio shemeji yenu shemeji yenu huyoo nimezama mazimaa
Also, check more tracks from Kusah;