Kusah – On Fire (Nakukunda) LYRICS
VERSE 1
Kama ni ndumba baby umenifanya
Kama punda mzigo ninabeba na nadunda naenjoy
Walahy umenifunga mapigo ya moyo
Yananidunda kama ni sindano umenidunga mie hoii
Sanamu lako likajengwe posta
Niende kwenu nikatoe posa
Ama nifanye vitu wanione ndondocha ama ama nifanyeje
BRIDGE
Jamani penzi lake pombe me nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya utanielewa ila
Kama hujui ndo umechelewa
CHORUS
Aaaahuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaahuuu nakukunda your love is on fire
VERSE 2
Kati ya wote hao number moja me
Nakwambia umepita wote hao ooooh babe
Thamani yako weeh thamani yako zaidi ya rupia
Hawakuwezi hao Oooh darling
Labda nikuambie kwamba me nyoka umenivua gamba
Kwako naanzaje kutamba sasa naanzaje baby
Na vyenye unanivuta nafsi inanisuta
Me unanikoshaga na kule unanivusha
Nimeweka nukta mie nimefikaga
Sanamu lako likajengwe posta niende
Kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama ama nifanyeje
BRIDGE
Jamani penzi lake pombe me nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya utanielewa ila
Kama hujui ndo umechelewa
CHORUS
Aaaahuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaahuuu nakukunda your love is on fire
Aaaahuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaahuuu nakukunda your love is on fire
Also, check more tracks from Kusah;