LYRICS

Arrow Bwoy – Daraja Lyrics

Arrow Bwoy - Daraja Lyrics
Arrow Bwoy – Daraja Lyrics

VERSE 1

Masaibu ya mapenzi unayependana naye kesho anakuchukia

Yule uliyemuenzi anageuka sumu kisha penzi anakuvunjia

Picha picha zote kwa Insta nafuta

Twitter Twitter hashtag anaweka ya matusi

Picha picha zote kwa kuta anashusha kisha anakupiga block

Daraja daraja ya mapenzi wanaopita ni wengi

Daraja hii daraja ya mapenzi wanaovuka ni wachache

Otile na Vera walijaribu kuvuka wakaanguka chupwi

KRG na Nina walijaribu kubuka wakaanguka chupwi

Tanasha na Simba walijaribu kuvuka wakaanguka chupwi

Jamaa roho safi na Avrili wakaanguka chupwi

Tua na Lilian walijaribu kuvuka wakaanguka aki mapenzi wewe

Aki mapenzi wewe wewe

Naogopa mapenzi naogopa naogopa mapenzi naogopa naogopa

VERSE 2

Kitendawili ya mapenzi wengi wameshindwa kuitegua

Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua

Kitendawili ya mapenzi wengi wameshindwa kuitegua

Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua

Daraja daraja ya mapenzi wanaopita ni wengi

Daraja hii daraja ya mapenzi wanaovuka ni wachache

Mulamua na Caro walijaribu kuvuka wakaanguka chupwi

Sipogoi na fishy wakajaribu kuvuka wakaanguka chupwi

Frank na Korasoi wakajaribu kubuka wakaanguka chupwi

Huyo Frankie na Maureen walijaribu kuvuka wakaanguka chupwi

Aki mapenzi wewe Aki mapenzi wewe Aki mapenzi wewe wewe

Naogopa mapenzi naogopa naogopa mapenzi naogopa naogopa

Leave a Comment