LYRICS

Alikiba – Asali LYRICS

Alikiba - Asali LYRICS
Alikiba – Asali LYRICS

VERSE 1
Kama kulia nitalia na yeye kucheka nitacheka na yeye
Kuimba nitaimba na yeye ni furaha
Kuteseka nitateswa na yeye
Aaaah akisababisha yeye stress akinipa yeye ni sawa
Hata dunia iumbwe upya mimi
Nitakupenda mpaka mwisho
Hata dunia iumbwe upya mimi
Nitakupenda mpaka mwisho

BRIDGE
Hata uende mbali Oooh mbali asali yangu
Mi hodari hodari hodari
Hata uende mbali Oooh mbali asali asali
Yooh wangu hodari

DOWNLOAD MP3

CHORUS
Tarara tata raaa tarara talanta
Tarara ta raa tarara tataraa
Tarara tata raaa tarara talanta
Tarara ta raa tarara tataraa

VERSE 2
You are my angel pretty pie raha tu
Unazonipa we umesababisha mi kichaa
Kama ni dawa niambie tu
Maana mi presha juu yako tu
Ni wewe tuuu ni wewe tuuu

Hata dunia aaah iumbwe upya
Mimi nitakupenda mpaka mwisho
Hata dunia aaah iumbwe upya
Mimi nitakupenda mpaka mwisho

BRIDGE
Hata uende mbali Oooh mbali
Asali yangu mi hodari hodari hodari
Hata uende mbali Oooh mbali
Asali asali yooh wangu hodari

CHORUS
Tarara tata raaa tarara talanta
Tarara ta raa tarara tataraa
Tarara tata raaa tarara talanta
Tarara ta raa tarara tataraa

OUTRO
Amore mon cheri khabulah khabulah
Khabulah khabulah khabulah
Amore mon cheri khabulah khabulah
Khabulah khabulah

Also, check more tracks from Alikiba;

Leave a Comment