ENTERTAINMENT

Mange Kimambi tena – Aendelea kuwatafuna Ma-star wa Bongo, Sasa ni Uwoya

Video chafu inayosemekana ni ya Irene Uwoya (+Video)

Sakata zima la kuvujisha video za Ngono Tanzania naona linazidi kupamba na sasa nadhani ni wakati wa Serikali kuingilia jambo hili. Kumekuwa na mfululizo wa uvujishaji wa video za Ngono nchini kwanzia kwa wasanii mpaka wanachuo.

RELATED: Jay Melody – Nakupenda

Hii yote imekuja baada ya Mange Kimambi kupost katika Instagram yake na kuvujisha video ya Msanii Irene Uwoya.

Dah! Hivi tunashindwa kumpata Mange kweli? Dunia yenyewe ndogo hii, hivi inashindikana vipi?

Nimesikitika mno, aisee, mange sio mtanzania, hana uzalendo wa kitanzania, kuchafuana hivi sio vizuri kabisa. Juzi kati amevujisha za Lulu, kidogo Lulu ajiue, haya leo analeta na Uwoya, aisee Mange ni wa kuuawa kabisa hafai katika jamii. Kwanza hata waliomfollow ni watu wakunyongwa tu, Wao ndio wanampa kichwa cha kumfanya aendelee kuzalilisha wanawake.

Aisee aliyemrekodi Uwoya hiyo Video, popote pale alipo, apate hata ukichaa, achanganyikiwe kabisa, au akumbwe na balaa ambalo hajawahi kulipata maishani.

Wasichana kaeni makini sana, mtarekodiwa hovyo na hao wapenzi wenu, sasa wewe nenda kwa mwanaume halafu ulale uchi au unywe pombe, utajikuta asubuhi Mange app.

Nadhani hili limeendelea kwa sababu pengine wahusika hawachukulia hatua za kisheria. Ni vema kabisa wala haipendezi na hii inachafua na kushusha heshima ya watu ambao video zao zinavujishwa.

Katika mitandao ya kijamii wadau mbalimbali wametoa maoni.

Also, check more tracks from Jay’s melody;

1 Comment

Leave a Comment