Lukamba ,ambaye alikuwa mpiga picha wa Diamond amefunguka na kusema kuwa Diamond hakumfukuza kazi kama watu wengi wanavyosema bali aliamua kujiondoa kutafuta maslahi zaidi.
Lukamba aliyasem hayo akiwa anaongea na waandishi wa habari hivi karibuni kama inavyoonekana kwenye video..