Saraphina – Upo Nyonyo LYRICS
Shamba la babu , nalima Nivune muhogo na shina ni weh
Tambarale mwa milima Kufika kilele lazima
BRIDGE
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi,
Ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa
Nikapata donda Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana, nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala
CHORUS
Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele)
Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele)
VERSE 2
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege
Nitupie kwa bedi Kabisa n’garagaze, Mpaka ni dead
BRIDGE
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi,
Ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa
Nikapata donda Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana, nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala
CHORUS
Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele)
Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele)
Also, check out more from Maua Sama;